“Sauti siyo yangu” ni Karim Mandonga akikanusha juu ya sauti iliyosambaa akiongea na simu mara baada tu ya pambano lake na Shab…

“Sauti siyo yangu” ni Karim Mandonga akikanusha juu ya sauti iliyosambaa akiongea na simu mara baada tu ya pambano lake na Shaban Kaoneka.
Mandonga amefanya mahojiano na Azam TV kupitia kipindi cha #Viwanjani kinachoruka kupitia #AzamSports1HD mapema asubuhi ya leo.
#Viwanjani #Mandonga #AzamSports1HD
The post “Sauti siyo yangu” ni Karim Mandonga akikanusha juu ya sauti iliyosambaa akiongea na simu mara baada tu ya pambano lake na Shab… appeared first on soka letu.
Via soka letu https://ift.tt/nOR6zGB
Comments
Post a Comment