Rais atengua uteuzi wa Chegeni Rais Samia Suluhu Hassan ametengua uteuzi wa Raphael Chegeni kuwa mkuu wa mkoa wa mara na kumteu…

Rais atengua uteuzi wa Chegeni
Rais Samia Suluhu Hassan ametengua uteuzi wa Raphael Chegeni kuwa mkuu wa mkoa wa mara na kumteua Meja Jenerali Suleiman Mzee kuwa mkuu wa mkoa wa Mara.
Kabla ya uteuzi huo meja Jenerali Suleiman Mzee alikua kamishna Jenerali wa Jeshi la Mageereza.
Uapisho wa viongozi hao utafanyika Kesho tarehe mosi Agosti, 2022

The post Rais atengua uteuzi wa Chegeni Rais Samia Suluhu Hassan ametengua uteuzi wa Raphael Chegeni kuwa mkuu wa mkoa wa mara na kumteu… appeared first on soka letu.
source https://mjombazecoder.website/42306/
Comments
Post a Comment