Mkuu wa Mkoa wa Geita Martin Shigella amepiga marufuku tabia ya baadhi ya Watumishi wanaopewa vifaa vya usafiri pikipiki kutumia…

Mkuu wa Mkoa wa Geita Martin Shigella amepiga marufuku tabia ya baadhi ya Watumishi wanaopewa vifaa vya usafiri pikipiki kutumia kwa lengo lililokusudiwa na sio kutumia kwenye biashara ya bodaboda na kujiingizia kipato kinyume na kusudio la Serikali.
Ameyasema hayo wakati akikabidhi pikipiki kwa mameneja Wilaya na Jumuiya za Watumia maji zikizotolewa na RUWASA Mkoani Geita.
amesisitiza kufanya hivyo ni kinyume cha sheria na maadili pia hivyo zikatumike kwa njia sahihi ya kutoa huduma kwa Wananchi
#StartvUpadates

The post Mkuu wa Mkoa wa Geita Martin Shigella amepiga marufuku tabia ya baadhi ya Watumishi wanaopewa vifaa vya usafiri pikipiki kutumia… appeared first on soka letu.
source https://mjombazecoder.website/46320/
Comments
Post a Comment