Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA) imepanga kutumia shilingi bilioni 8.9 kwa ajili ya kufadhili miradi ya kuboresha miundombinu ya …

Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA) imepanga kutumia shilingi bilioni 8.9 kwa ajili ya kufadhili miradi ya kuboresha miundombinu ya elimu nchini kwa mwaka 2022/2023.
Mkurugenzi mkuu wa TEA Bahati Geuzye amewaambia waandishi wa habari mkoani Dar es Salaam kuwa, fedha hizo zitatumika kujenga miradi 96 katika shule za msingi na sekondari Tanzania Bara pamoja na taasisi mbili za elimu ya juu Tanzania Zanzibar.

The post Mamlaka ya Elimu Tanzania (TEA) imepanga kutumia shilingi bilioni 8.9 kwa ajili ya kufadhili miradi ya kuboresha miundombinu ya … appeared first on soka letu.
source https://mjombazecoder.website/43375/
Comments
Post a Comment