Makamu wa Rais Dokta Philip Mpango pamoja na mkewe Mbonimpaye Mpango leo Agosti 23, 2022 wameshiriki zoezi la sensa ya watu na m…

Makamu wa Rais Dokta Philip Mpango pamoja na mkewe Mbonimpaye Mpango leo Agosti 23, 2022 wameshiriki zoezi la sensa ya watu na makazi, Ambapo Karani Isack Mgosho alifika katika Makazi yao Chanika Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kuwahesabu.
#SensakwaMaendeleoyaTaifa
#StarTvUpdates

The post Makamu wa Rais Dokta Philip Mpango pamoja na mkewe Mbonimpaye Mpango leo Agosti 23, 2022 wameshiriki zoezi la sensa ya watu na m… appeared first on soka letu.
source https://mjombazecoder.website/49969/
Comments
Post a Comment