MAKAMU WA RAIS AAGIZA KUTAFUTWA KIINI CHA WAFANYABIASHARA KUHAMIA NJE YA NCHI: Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango ameziagiza Wiza…

MAKAMU WA RAIS AAGIZA KUTAFUTWA KIINI CHA WAFANYABIASHARA KUHAMIA NJE YA NCHI: Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango ameziagiza Wizara ya Uwekezaji, Viwanda na Biashara pamoja na Wizara ya Fedha kufuatilia kiini cha wafanyabiashara wa Tanzania kuhamia nje ya nchi kwa madai ya vikwazo vya kuichumi.
Pia ametaka wizara hizo kufanyia kazi na kubaini sababu za wafayabiashara kutoka nchi zinazopakana na Tanzania kupitia mikoa ya Nyanda za Juu Kusini kuacha kutumia bandari ya Dar Es Salaam kauli ambayo ameitoa wakati akifungua maonesho ya wakulima Nanenane ambayo kitaifa yananyika mkoani Mbeya.
#biashara #wizarayafedha #wizarayabiashara #agizo #nanenane #vikwazo
The post MAKAMU WA RAIS AAGIZA KUTAFUTWA KIINI CHA WAFANYABIASHARA KUHAMIA NJE YA NCHI: Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango ameziagiza Wiza… appeared first on soka letu.
source https://mjombazecoder.website/42678/
Comments
Post a Comment