MAGARI YA MABOVU YA WANAFUNZI YAFUNGIWA KUTOA HUDUMA: Magari 11 ya wanafunzi mkoani Lindi yamefungiwa kutoa huduma hiyo kutokana…

MAGARI YA MABOVU YA WANAFUNZI YAFUNGIWA KUTOA HUDUMA: Magari 11 ya wanafunzi mkoani Lindi yamefungiwa kutoa huduma hiyo kutokana na ubovu unaohatarisha usalama wa watoto huku mkoani Dar es Salaam zaidi ya magari 100 yakikaguliwa na baadhi yake kubainika kuwa mabovu.
#magari #ubovu #usalama #ukaguzi #lindi
The post MAGARI YA MABOVU YA WANAFUNZI YAFUNGIWA KUTOA HUDUMA: Magari 11 ya wanafunzi mkoani Lindi yamefungiwa kutoa huduma hiyo kutokana… appeared first on soka letu.
Via soka letu https://ift.tt/3xGvs6e
Comments
Post a Comment