Kama ukifika Arusha basi ni vyema usogee mpaka maeneo flanii hivi ya Ngarenaro ambapo huku ndiyo kuna asilimia kubwa ya uchugani…

Kama ukifika Arusha basi ni vyema usogee mpaka maeneo flanii hivi ya Ngarenaro ambapo huku ndiyo kuna asilimia kubwa ya uchuganizm.
Kama kawaida yake @fantasticgwamaka ameamua apige stori na mume na mke wake juu mapenzi na klabu kongwe za kariakoo yaani Simba Sc pamoja na Yanga Sc.
Usiache kufatilia kipindi cha kijiwe kufahamu nini kilichojiri.
Kijiwe kila siku saa 1:00 usiku hapa @tv3tz kupitia kisimbuzi cha @startimestz CH 131 ANT na CH 197 kwa Dish
#kijiwe,#Tv3Tanzania, #GameOn,#Mara100Zaidi.
The post Kama ukifika Arusha basi ni vyema usogee mpaka maeneo flanii hivi ya Ngarenaro ambapo huku ndiyo kuna asilimia kubwa ya uchugani… appeared first on soka letu.
source https://mjombazecoder.website/48218/
Comments
Post a Comment