“Wazazi wanaweza wakaamua watoto wale wakiwa shuleni…elimu bila ada haizuwii wazazi kuamua kwamba watafanya utaratibu wa chaku…

“Wazazi wanaweza wakaamua watoto wale wakiwa shuleni…elimu bila ada haizuwii wazazi kuamua kwamba watafanya utaratibu wa chakula kwa watoto wao shuleni, lakini asifukuzwe mtoto yoyote kwa sababu mzazi mmoja hakutoa mchango wa hiari wa chakula”.Waziri wa Elimu Prof.Adolf Mkenda.
The post “Wazazi wanaweza wakaamua watoto wale wakiwa shuleni…elimu bila ada haizuwii wazazi kuamua kwamba watafanya utaratibu wa chaku… appeared first on soka letu.
Via soka letu https://ift.tt/dtrLyiF
Comments
Post a Comment