Wanafunzi wanaosoma shule ya msingi Gole, wanalazimika kusomea chini huku wakitumia maji kupunguza vumbi kwenye madarasa yasiyo…

Wanafunzi wanaosoma shule ya msingi Gole, wanalazimika kusomea chini huku wakitumia maji kupunguza vumbi kwenye madarasa yasiyo na sakafu , kutokana na kukosa madawati , huku pia wakiitumia nyumba ya walimu kama ofisi, kutokana na shule hiyo pia kukosa ofisi ya walimu.
The post Wanafunzi wanaosoma shule ya msingi Gole, wanalazimika kusomea chini huku wakitumia maji kupunguza vumbi kwenye madarasa yasiyo… appeared first on soka letu.
Via soka letu https://ift.tt/nQXNHsW
Comments
Post a Comment