TUANDIKIE MAONI YAKO: Kesho Julai 30, Timu ya Taifa ya Tanzania(Taifa Stars) itamenyana na Somalia kwenye mechi ya mkondo wa pi…

TUANDIKIE MAONI YAKO: Kesho Julai 30, Timu ya Taifa ya Tanzania(Taifa Stars) itamenyana na Somalia kwenye mechi ya mkondo wa pili ya Kufuzu michuano ya CHAN 2023.
Unawashauri nini wachezaji wa kikosi hicho ili kuhakikisha wanaibuka na ushindi kwenye mtanange huo?
Tuandikie maoni yako hapa na sisi tutayasoma LIVE #AzamSports1HD kupitia kipindi cha #Viwanjani kuanzia saa 3:00 asubuhi.
#Viwanjani #AzamSports1HD #KipindiChaViwanjani

The post TUANDIKIE MAONI YAKO: Kesho Julai 30, Timu ya Taifa ya Tanzania(Taifa Stars) itamenyana na Somalia kwenye mechi ya mkondo wa pi… appeared first on soka letu.
source https://mjombazecoder.website/41325/
Comments
Post a Comment