#TAIFASTARS : Mashabiki wa timu ya Taifa ‘Taifa Stars’ kutoka Mkoani Lindi wanaeleza matumaini yako kwa timu hiyo kuelekea mchez…

#TAIFASTARS : Mashabiki wa timu ya Taifa ‘Taifa Stars’ kutoka Mkoani Lindi wanaeleza matumaini yako kwa timu hiyo kuelekea mchezo wake na timu ya taifa ya Somalia kwa wachezaji wa ligi ya ndani ya nchi.
Mchezo huo utapigwa siku ya Jumapili wiki hii katika dimba la Benjamin Mkapa, Jijini Dar es Salaam.
#LIVE #AzamSpors1HD
#SokaLetuBamBam #AzamTV #AzamSportsHD #BurudaniKwaWote
The post #TAIFASTARS : Mashabiki wa timu ya Taifa ‘Taifa Stars’ kutoka Mkoani Lindi wanaeleza matumaini yako kwa timu hiyo kuelekea mchez… appeared first on soka letu.
Via soka letu https://ift.tt/Fjs95bi
Comments
Post a Comment