MSIKIE MAYELE: “Nasikia wanasema nilikuwa kwa mkopo Yanga, sio kwa mkopo nina mkataba” sehemu ya maneno ya nyota wa Yanga SC, Fi…

MSIKIE MAYELE: “Nasikia wanasema nilikuwa kwa mkopo Yanga, sio kwa mkopo nina mkataba” sehemu ya maneno ya nyota wa Yanga SC, Fiston Mayele ‘akifunguka’ mengi kumhusu yeye huku akiondoa utata wa madai tofauti.
Mayele amefanya mahojiano maalumu na @hasheem_ibwe ndani ya Avic Town
#MayeleAfunguka #FistonMayele @mayelefiston @yangasc
The post MSIKIE MAYELE: “Nasikia wanasema nilikuwa kwa mkopo Yanga, sio kwa mkopo nina mkataba” sehemu ya maneno ya nyota wa Yanga SC, Fi… appeared first on soka letu.
source https://mjombazecoder.website/40401/
Comments
Post a Comment