Skip to main content

KUPITIA KASINO YA MTANDAONI YA MERIDIANBET, SLOTI YA STICKY 777 INAWEZA KUKUPA FAIDA KUBWA!


Sloti ya Sticky 777 imetengenezwa katika mfumo wa sloti za zamani. Inapambwa kwa alama zilizopangwa vizuri zikiwa na rangi ang’avu zinazomsaidia mchezaji kuona vizuri ushindi na thamani ya alama hizo wakati wote wa mchezo. Sanjari na hilo, Sloti ya Sticky 777 inamfumo wa muziki ambao unaongeza burudani kwa mchezaji wa sloti hii.

Tunapozungumzia umuhimu wa alama, tunamaanisha ushindi mkubwa! Alama kubwa zaidi kwenye sloti hii ni Sticky 777 ambayo inamalipo makubwa kwenye mchezo wa kawaida. Ukizipata alama za Sticky 777 tatu, nne au tano, utapata Gurudumu la Bahati. Huu ni mchezo ambao unaweza kukupa faida mara 1000 zaidi ya dau lako.

Mchezo huu pia una alama nyingine kama vile almasi, kengele na matunda kama vile tikiti maji, nanasi, limao na mengine mengi. Unaweza kupata ushindi mkubwa kama alama 3 au zaidi ya hizi zitakusanywa. Katika mistari 10 ya ushindi, unaweza kushinda almasi na kengele zenye thamani kubwa lakini pia, unaweza kushinda miti ya matunda maarufu.

Zungusha Gurudumu la Bahati Kwenye Sloti ya Sticky 777

Sloti ya Sticky 777 inauwezo wa kurudia kuzungusha gurudumu, sifa hii inatokea pale ambapo wilds mbili zitatokea kwenye reels. Baadhi ya bonasi za gurudumu la bahati zinapatikana katika mfumu huu; alama tatu zitakupeleka katika gurudumu la bahati la hatua ya kwanza ambapo utaweza kupata faida mara 50 zaidi ya dau lako. Alama 4 zitakupeleka katika gurudumu la bahati la hatua ya 2 ambapo utaweza kupata faida mara 125 ya dau lako. Alama 5 zitakupeleka kwenye hatua ya 3 ambapo utaweza kupata faida mara 1000 zaidi ya dau lako.

Mchezaji ataweza kusogea kwenye hatua inayofuata endapo gudurumu litasimama likiwa na mishale katika hatua mojawapo kati ya hatua mbili. Kusonga mbele hakutoi zawadi ya pesa lakini ni mwanzo wa kusogea kwenye hatua zilizo na zawadi kubwa zaidi.

Sloti ya Sticky 777 kupitia Meridianbet ina machaguo mbalimbali. Unaweza kuchagua ubashiri ambapo mchezaji ataweza kupata faida mara mbili kwa kubashiri rangi za kadi. Jiunge sasa na familia ya Meridianbet ili uwe miongoni mwa mabingwa wanaoburudika kupitia Sloti ya Sticky 777 sambamba na michezo mingine mingi!

The post KUPITIA KASINO YA MTANDAONI YA MERIDIANBET, SLOTI YA STICKY 777 INAWEZA KUKUPA FAIDA KUBWA! appeared first on Saleh Jembe.

The post KUPITIA KASINO YA MTANDAONI YA MERIDIANBET, SLOTI YA STICKY 777 INAWEZA KUKUPA FAIDA KUBWA! appeared first on soka letu.

Via soka letu https://ift.tt/I4XE0Wh

Comments

Popular posts from this blog

Dr. William Samoei Ruto: muuza kuku ambaye sasa ni rais wa Kenya

Ruto ameweka historia kwa kuwa mgombea wa kwanza wa urais katika Jamhuri ya Kenya kushinda kura za urais katika jaribio la kwanza. Amekuwa naibu wa kwanza wa rais kushinda kiti cha urais katika Jamhuri ya Kenya. Mwanasiasa ambaye hajawahi kushindwa katika uchaguzi wowote. Mwanasiasa ambaye ametajwa na wachambuzi kama mchapa kazi na mwenye bidii na kiu ya kupata kile anacholenga maishani. Mtu asiyekata tamaa. Mcheshi katika hotuba zake, anayesemekana kutaka kujua kila linaloendelea karibu naye, mtu mkarimu mwenye roho ya kuchangisha pesa kwa watu na kwa ajili ya miradi mbalimbali. Ruto ameshutumiwa kwa kashfa kadhaa hasa za ufisadi bila kesi kufikishwa mahakamani, na ameshinda karibu kesi zote ambazo zimewahi kufunguliwa mahakamani dhidi yake ikiwemo kesi katika mahakama ya kimataifa ya uhalifu ICC. Yafuatayo ndiyo mambo muhimu yanayomhusu rais wa 5 wa Jamhuri ya Kenya Dr. William Samoei Ruto. Majina Kamili: William Samoei Arap Ruto Umri: miaka 55 Mke wake: Rachel Chebet Ruto ...

Jioni

Download Audio The post Jioni appeared first on soka letu . source https://mjombazecoder.website/54168/

Bunge la Somalia limemchagua tena Rais wa zamani Hassan Sheikh Mohamud kuwa rais ajaye

Bunge la Somalia limemchagua tena Rais wa zamani Hassan Sheikh Mohamud kufuatia upigaji kura uliofanyika Jumapili mjini Mogadishu. Upigaji kura huo ulifanyika katika uwanja wa ndege wa Mogadishu uliokuwa na ulinzi mkali huku wanajeshi wa Umoja wa Afrika wakilinda hema la Afisyone ambalo lilikuwa ni sehemu ya kupigia kura. Katika kikao cha pamoja cha mabaraza mawili ya bunge yenye wajumbe 328 waliwapigia kura wagombea 36 wa urais katika duru tatu. Mohamud alimshinda Rais aliyekuwa madarakani Mohammed Abdullahi Mohamnmed maarufu kama “Farmaajo” katika duru tatu za upigaji kura. Hassan Sheikh Mohamud alikuwa rais kati ya Agosti 2012 na Februari 2017. The post Bunge la Somalia limemchagua tena Rais wa zamani Hassan Sheikh Mohamud kuwa rais ajaye appeared first on soka letu . Via soka letu https://ift.tt/ZmsWCwT