Kamanda wa Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani SACP Wilbrod Mutafungwa amepiga marufuku mgomo wa madereva wa malori kwa madai…

Kamanda wa Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani SACP Wilbrod Mutafungwa amepiga marufuku mgomo wa madereva wa malori kwa madai kuwa hauna uhalali huku akitoa onyo kwa wote wanaochochea migomo hiyo kwa kuwashawishi madereva wenzao kuegesha magari barabarani kwa lengo la kushinikiza madai yao zaidi.
The post Kamanda wa Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani SACP Wilbrod Mutafungwa amepiga marufuku mgomo wa madereva wa malori kwa madai… appeared first on soka letu.
source https://mjombazecoder.website/40151/
Comments
Post a Comment