#HABARI: Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Damas Ndumbaro amesema Katiba iliyopo sasa sio kwamba haifai ila ina mapungufu huku ak…

#HABARI: Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Damas Ndumbaro amesema Katiba iliyopo sasa sio kwamba haifai ila ina mapungufu huku akibainisha kuwa shida anayoiona katika mjadala wa Katiba Mpya ni wanasiasa na vyama vya siasa kuongea zaidi, hivyo ni vizuri wakawasikiliza wananchi, na katika kulitekeleza hilo Dkt.Ndumbaro amesema wamejipanga kutoa elimu hiyo kwa Watanzania wote hasa wale wa Vijijini.

The post #HABARI: Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Damas Ndumbaro amesema Katiba iliyopo sasa sio kwamba haifai ila ina mapungufu huku ak… appeared first on soka letu.
source https://mjombazecoder.website/37666/
Comments
Post a Comment