#HABARI: Mawaziri wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) wamekutana kukamilisha baadhi ya maazimio yanayotarajiwa kuwasilishwa kat…

#HABARI: Mawaziri wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) wamekutana kukamilisha baadhi ya maazimio yanayotarajiwa kuwasilishwa katika Kikao cha Wakuu wa Nchi wanachama wa Jumuiya hiyo kinachotarajiwa kufanyika Julai 21 hadi 22, 2022 Jijini Arusha ambapo Waziri wa Mambo ya Nje, Liberata Mulamula amebainisha kuwa kikao hicho ni shirikishi kati ya serikali, sekta binafsi na wadau wengine vikiwemo vyombo vya habari.

The post #HABARI: Mawaziri wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) wamekutana kukamilisha baadhi ya maazimio yanayotarajiwa kuwasilishwa kat… appeared first on soka letu.
source https://mjombazecoder.website/37672/
Comments
Post a Comment