#HABARI: Baraza la Tiba asili na Tiba Mbadala limeifungia dawa inayoitwa ya Hensha maarufu kama ‘MKONGO’ yenye usajili namba TZ1…

#HABARI: Baraza la Tiba asili na Tiba Mbadala limeifungia dawa inayoitwa ya Hensha maarufu kama ‘MKONGO’ yenye usajili namba TZ17TM0027 baada ya dawa hiyo kukutwa imechanganywa na dawa ya kisasa ya nguvu za kiume inayoitwa Sildenafil kwa jina maarufu la biashara ni Viagra au Erecto.
#ITVUpdates

The post #HABARI: Baraza la Tiba asili na Tiba Mbadala limeifungia dawa inayoitwa ya Hensha maarufu kama ‘MKONGO’ yenye usajili namba TZ1… appeared first on soka letu.
source https://mjombazecoder.website/40461/
Comments
Post a Comment