Skip to main content

UEFA NATIONS LEAGUE KUFIKIA TAMATI WIKIENDI HII, UNAMALIZAJE?


Pengine unaweza kudhani mashindano ya mwaka huu ni kama yamesusiwa na wachezaji, mataifa makubwa yanaanguka viwanjani. Mkeka wako wa UEFA Nations League umetusua au umechanika Hizi hapa Odds bora wikiendi hii;

Uingereza kuitupa karata yake ndani ya Wembley kuchuana na Italia, maumivu ya kupoteza fainali ya Euro 2020 yanaweza kuwapa chachu vijana wa Southgate kupata alama tatu mbele ya Mancini? Pengine huu ukawa ni mchezo wa kulipiza kisasi au, kuendeleza kipigo. Meridianbet tumekuwekea Odds ya 1.86 kwa Uingereza.

Kule Oslo, Norway watawaalika majirani zao, Sweden katika mchezo mwingine wa UEFA Nations League. Erling Haaland anaendelea kuonesha uwezo wake mkubwa wa kupachika magoli akiwa na timu ya Taifa, Sweden wameshapoteza michezo 2 ya awali, watatoboa mchezo wa 3? Ifuate Odds ya 2.11 kwa Norway kupitia Meridianbet.

Ni marudio ya fainali ya Kombe la Dunia 2018, Ufaransa uso kwa uso na Croatia. Mchongo upo hivi, toka walipocheza fainali 2018, viwango vya mataifa yote mawili vimebadilika sana. Huku ni kwenye mashindano ya Ulaya, lolote linaweza kutokea. Dau lako unaliweka kwa nani? Odds ya 1.51 ipo kwa Ufaransa.

Maliza mashindano ya kubashiri kwenye mchezo wa wababe, Ujerumani vs Italia. Unakumbuka enzi za Hitler na Mussolin? Ni vita ya falsafa ambayo imeendelea kudumu mpaka kwenye soka ndani na nje ya uwanja kwa mataifa haya. Sio rahisi kubashiri matokeo ya mchezo huu lakini, Meridianbet tumekuwekea Odds ya 1.76 kwa Ujerumani.

Bashiri Kistaarabu. Hairuhusiwi kwa wenye umri chini ya miaka 18.

The post UEFA NATIONS LEAGUE KUFIKIA TAMATI WIKIENDI HII, UNAMALIZAJE? appeared first on Saleh Jembe.

The post UEFA NATIONS LEAGUE KUFIKIA TAMATI WIKIENDI HII, UNAMALIZAJE? appeared first on soka letu.

Via soka letu https://ift.tt/0LFHTRx

Comments

Popular posts from this blog

Dr. William Samoei Ruto: muuza kuku ambaye sasa ni rais wa Kenya

Ruto ameweka historia kwa kuwa mgombea wa kwanza wa urais katika Jamhuri ya Kenya kushinda kura za urais katika jaribio la kwanza. Amekuwa naibu wa kwanza wa rais kushinda kiti cha urais katika Jamhuri ya Kenya. Mwanasiasa ambaye hajawahi kushindwa katika uchaguzi wowote. Mwanasiasa ambaye ametajwa na wachambuzi kama mchapa kazi na mwenye bidii na kiu ya kupata kile anacholenga maishani. Mtu asiyekata tamaa. Mcheshi katika hotuba zake, anayesemekana kutaka kujua kila linaloendelea karibu naye, mtu mkarimu mwenye roho ya kuchangisha pesa kwa watu na kwa ajili ya miradi mbalimbali. Ruto ameshutumiwa kwa kashfa kadhaa hasa za ufisadi bila kesi kufikishwa mahakamani, na ameshinda karibu kesi zote ambazo zimewahi kufunguliwa mahakamani dhidi yake ikiwemo kesi katika mahakama ya kimataifa ya uhalifu ICC. Yafuatayo ndiyo mambo muhimu yanayomhusu rais wa 5 wa Jamhuri ya Kenya Dr. William Samoei Ruto. Majina Kamili: William Samoei Arap Ruto Umri: miaka 55 Mke wake: Rachel Chebet Ruto ...

Jioni

Download Audio The post Jioni appeared first on soka letu . source https://mjombazecoder.website/54168/

Bunge la Somalia limemchagua tena Rais wa zamani Hassan Sheikh Mohamud kuwa rais ajaye

Bunge la Somalia limemchagua tena Rais wa zamani Hassan Sheikh Mohamud kufuatia upigaji kura uliofanyika Jumapili mjini Mogadishu. Upigaji kura huo ulifanyika katika uwanja wa ndege wa Mogadishu uliokuwa na ulinzi mkali huku wanajeshi wa Umoja wa Afrika wakilinda hema la Afisyone ambalo lilikuwa ni sehemu ya kupigia kura. Katika kikao cha pamoja cha mabaraza mawili ya bunge yenye wajumbe 328 waliwapigia kura wagombea 36 wa urais katika duru tatu. Mohamud alimshinda Rais aliyekuwa madarakani Mohammed Abdullahi Mohamnmed maarufu kama “Farmaajo” katika duru tatu za upigaji kura. Hassan Sheikh Mohamud alikuwa rais kati ya Agosti 2012 na Februari 2017. The post Bunge la Somalia limemchagua tena Rais wa zamani Hassan Sheikh Mohamud kuwa rais ajaye appeared first on soka letu . Via soka letu https://ift.tt/ZmsWCwT