
Mohamud anachukua madaraka baada ya miezi kadhaa ya ukosefu wa uthabiti wa kisiasa, huku nchi hiyo ikikabiliwa na uasi wenye ghasia na ukame mbaya.
Ndege ya kwanza ya abiria baada ya takriban miaka sita iliruka kutoka mji mkuu unaoshikiliwa na waasi nchini Yemen Jumatatu, maafisa wamesema, ikiwa ni sehemu ya sitisho la mapigano tete katika nchi hiyo iliyokumbwa na vita vya wenyewe kwa wenyewe.
Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari

The post Washirika wa kimataifa wa Somalia wampongeza Rais mpya aliyechaguliwa. appeared first on soka letu.
Via soka letu https://ift.tt/DSIP6EN
Comments
Post a Comment