Uchakavu wa miundombinu na kukosekana kwa mabweni ya kutosha ikiwemo upungufu wa vitanda, kunachangia wazazi kutowapeleka watoto…

Uchakavu wa miundombinu na kukosekana kwa mabweni ya kutosha ikiwemo upungufu wa vitanda, kunachangia wazazi kutowapeleka watoto wao shuleni na waalimu kusimamisha usajili kwa baadhi ya wanafunzi wenye ulemavu katika Shule ya Msingi Lulindi Maalumu iliyopo wilayani Masasi mkoani Mtwara.
#AzamTVupdates #AzamNews
The post Uchakavu wa miundombinu na kukosekana kwa mabweni ya kutosha ikiwemo upungufu wa vitanda, kunachangia wazazi kutowapeleka watoto… appeared first on soka letu.
source https://mjombazecoder.website/15203/
Comments
Post a Comment