Spika “Magari ya viongozi yazimwe wanapoenda vikaoni”. Spika wa Bunge, Tulia Ackson amewataka madereva wa magari ya viongozi wa…

Spika “Magari ya viongozi yazimwe wanapoenda vikaoni”.
Spika wa Bunge, Tulia Ackson amewataka madereva wa magari ya viongozi wa umma kuhakikisha wanazima magari pindi wanapowateremsha viongozi hao kwa ajili ya shughuli za kiutendaji ili kuondoa matumizi yasiyo ya lazima ya mafuta ambayo huiongezea serikali mzigo wa gharama.
#BungeniLeo #DkTuliaAckson #SpikaWaBunge
The post Spika “Magari ya viongozi yazimwe wanapoenda vikaoni”. Spika wa Bunge, Tulia Ackson amewataka madereva wa magari ya viongozi wa… appeared first on soka letu.
Via soka letu https://ift.tt/XYWwbU4
Comments
Post a Comment