Rais Samia Suluhu Hassan leo Mei 10,2022 anaondoka nchini kuelekea nchini Uganda kwa ziara ya kiserikali ya siku mbili. Ziara h…

Rais Samia Suluhu Hassan leo Mei 10,2022 anaondoka nchini kuelekea nchini Uganda kwa ziara ya kiserikali ya siku mbili.
Ziara hiyo inalenga kuimarisha mahusiano na historia ya muda mrefu iliyopo baina ya nchi hizo mbili

The post Rais Samia Suluhu Hassan leo Mei 10,2022 anaondoka nchini kuelekea nchini Uganda kwa ziara ya kiserikali ya siku mbili. Ziara h… appeared first on soka letu.
source https://mjombazecoder.website/13689/
Comments
Post a Comment