NYATI MWEUPE AONEKANA TARANGIRE: Baada siku kadhaa zilizopita kutolewa kwa taarifa na picha zinazomuonesha Nyati mwenye rangi ny…

NYATI MWEUPE AONEKANA TARANGIRE: Baada siku kadhaa zilizopita kutolewa kwa taarifa na picha zinazomuonesha Nyati mwenye rangi nyeupe katika Hifadhi ya Taifa ya Tarangire huku taarifa kutoka katika hifadhi hiyo zikisema kuonekana kwa nyati mwingine mwenye rangi nyeupe ndani ya hifadhi hiyo na kwa sasa Mamlaka za Uhifadhi ikiwemo Taasisi ya Utafiti wa Wanyamapori Nchini (TAWIRI) zikiendelea na utafiti ili kufahamu zaidi kuhusu nyati hao kuwa wenye muonekano tofauti na wengine.
#nyati #mnyamapori #Tawiri #hifadhiyatarangire #muonekano #utalii

The post NYATI MWEUPE AONEKANA TARANGIRE: Baada siku kadhaa zilizopita kutolewa kwa taarifa na picha zinazomuonesha Nyati mwenye rangi ny… appeared first on soka letu.
source https://mjombazecoder.website/17564/
Comments
Post a Comment