Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Omary Kipanga (kushoto) akizungumza na Mkurugenzi wa Sayansi, Teknolojia na Ubunif…

Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Omary Kipanga (kushoto) akizungumza na Mkurugenzi wa Sayansi, Teknolojia na Ubunifu kutoka wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Maulilio Kipanyula, baada ya kutembelea mabanda mbalimbali ndani ya uwanja wa Jamhuri mkoani Dodoma yanapofanyika maonesho ya bidhaa mbalimbali za kibunifu, kisayansi na teknolojia.

The post Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Omary Kipanga (kushoto) akizungumza na Mkurugenzi wa Sayansi, Teknolojia na Ubunif… appeared first on soka letu.
source https://mjombazecoder.website/16219/
Comments
Post a Comment