Skip to main content

“….Moloko alikuwa anawazingua Yanga…. …….Ntibazonkiza hakuwa yuleyule…. …….Kibwana Shomary aliupiga mwingi lakini krosi zake…

“….Moloko alikuwa anawazingua Yanga….

…….Ntibazonkiza hakuwa yuleyule….

…….Kibwana Shomary aliupiga mwingi lakini krosi zake hazikuwa na macho..….

…….Feitoto hakuwa kwenye kiwango chake….

…….Mugalu alikuwa ametengwa…..

……alipotolewa Chama, ndipo mpira ukahamia upande wa Simba…”

Hii hapa tathmini fupi kutoka kwa Ramadhan Mbwaduke kuhusu #KariakooDerby iliyopigwa jana na kumalizika kwa sare ya bila kufungana. Hapa Mbwaduke anaelezea ni kwanini mechi ilimalizika bila goli.

Je, ni kipi unakubaliana naye kati hayo aliyosema

FT: Yanga 0-0 Simba

#NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdates #KariakooDerby #YangaSimba #YangaVsSimba #YangaSC #SimbaSC #WataniWaJadi #Derby




Title of the document



The post “….Moloko alikuwa anawazingua Yanga…. …….Ntibazonkiza hakuwa yuleyule…. …….Kibwana Shomary aliupiga mwingi lakini krosi zake… appeared first on soka letu.

Via soka letu https://ift.tt/rQhonPE

Comments