LIVERPOOL inayonolewa na Kocha Mkuu, Jurgen Klopp imeweza kushinda taji la FA kwenye mchezo uliokuwa na mvutano mkubwa mwanzo mwisho.
Ubao wa Uwanja wa Wembley baada ya dk 90 kukamilika ulisoma 0-0, zikaongezwa 30 ambazo nazo zilimalizika kwa matiokeo hayohayo.
Liverpool wamelinyakua kombe hilo ikiwa ni mara ya pili mfululizo baada ya kulinyakua tena katika msimu uliopita.
Ushindi wa penalti 6-5 umewafanya waweze kutwaa taji hilo ikiwa ni furaha kwa mashabiki wa Liverpool.
The post LIVERPOOL MABINGWA MBELE YA CHELSEA FA appeared first on Saleh Jembe.
The post LIVERPOOL MABINGWA MBELE YA CHELSEA FA appeared first on soka letu.
Via soka letu https://ift.tt/zOn9FNo
Comments
Post a Comment