
– Hali inaendelea kuwa ya wasiwasi huko kaskazini ya DRC kwa wakaazi kufuatia mapigano yanayoendelea kati ya majeshi ya serikali na waasi wa M23.
– Watu 76 wameripotiwa hawajulikani walipo baada ya boti iliyokuwa imebeba wahamiaji 100 kuzama nje ya pwani ya Tunisia.
Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari

The post Dunia yasubiri kuona Washington itachukuwa hatua gani kufuatia mauaji ya watoto Texas appeared first on soka letu.
Via soka letu https://ift.tt/zjVpUe2
Comments
Post a Comment