Chama cha ACT Wazalendo kimeshauri serikali kupitia upya mipango yake ya kulisaidia kundi la machinga katika utekelezaji wa kute…

Chama cha ACT Wazalendo kimeshauri serikali kupitia upya mipango yake ya kulisaidia kundi la machinga katika utekelezaji wa kutenga maeneo na kuwawekea miundombinu rafiki itakayowasaidia wasirudi kwenye maeneo waliyoondolewa na kusababisha migogoro baina yao na watendaji wa serikali.

The post Chama cha ACT Wazalendo kimeshauri serikali kupitia upya mipango yake ya kulisaidia kundi la machinga katika utekelezaji wa kute… appeared first on soka letu.
source https://mjombazecoder.website/12840/
Comments
Post a Comment