YANGA vs SIMBA: Kocha wa Simba, Pablo Franco anasema pointi tatu za Yanga wanazitaka na kesho wanaingia kambini huku akisisitiz…

YANGA vs SIMBA: Kocha wa Simba, Pablo Franco anasema pointi tatu za Yanga wanazitaka na kesho wanaingia kambini huku akisisitiza kuwa ligi bado haijakwisha hivyo bado wana nafasi ya kulisaka taji la ligi kuu ya NBC.
Ni kulekea ‘derby’ ya Kariakoo Aprili 30, 2022.
#NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdates #KariakooDerby #YangaSimba #YangaVsSimba #YangaSC #SimbaSC #WataniWaJadi #Derby
The post YANGA vs SIMBA: Kocha wa Simba, Pablo Franco anasema pointi tatu za Yanga wanazitaka na kesho wanaingia kambini huku akisisitiz… appeared first on soka letu.
source https://mjombazecoder.website/9270/
Comments
Post a Comment