YANGA vs SIMBA: Fiston Mayele ndiye mchezaji pekee kutoka Yanga na Simba aliyecheza dakika nyingi zaidi kwenye ligi kuu msimu h…

YANGA vs SIMBA: Fiston Mayele ndiye mchezaji pekee kutoka Yanga na Simba aliyecheza dakika nyingi zaidi kwenye ligi kuu msimu huu… Na ndiye mchezaji pekee ambaye amecheza mechi zote 20 ambazo Yanga wamecheza kwenye ligi hadi sasa.
Wanaomfuatia ni Dickson Job, Bakari Mwamnyeto, Yannick Bangala na Djuma Shaban ambao wote wamecheza mechi 17 kila mmoja.
Magolikipa Djigui Diarra na Aishi Manula wote wamecheza mechi 16, dakika 1440 lakini Diarra hajaruhusu goli lolote katika mechi 10 (Clean Sheets) wakati Manula akiwa hajaruhusu goli kwenye mechi 9 na ndiye anayeongoza kwa kucheza dakika nyingi zaidi upande wa Simba.
Hii ni kuelekea ‘Kariakoo Derby’ Aprili 30, 2022.
Je, nani zaidi?
#NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdates #KariakooDerby #YangaSimba #YangaVsSimba #YangaSC #SimbaSC #WataniWaJadi #Derby

The post YANGA vs SIMBA: Fiston Mayele ndiye mchezaji pekee kutoka Yanga na Simba aliyecheza dakika nyingi zaidi kwenye ligi kuu msimu h… appeared first on soka letu.
source https://mjombazecoder.website/9595/
Comments
Post a Comment