“Yanga ni ya 75, Namungo ya 56” – Mwanahabari mwandamizi, Ramadhan Mbwaduke katika #SportsAM ya jana akizitaja timu tatu za Tanz…
“Yanga ni ya 75, Namungo ya 56” – Mwanahabari mwandamizi, Ramadhan Mbwaduke katika #SportsAM ya jana akizitaja timu tatu za Tanzania ambazo zipo kwenye ‘ramani’ ya CAF.
Hii ilikuwa ni kabla ya mchezo kati ya Simba na Orlando Pirates Aprili 17, 2022 kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, ukimalizika kwa Simba kupata ushindi wa bao 1-0.
The post “Yanga ni ya 75, Namungo ya 56” – Mwanahabari mwandamizi, Ramadhan Mbwaduke katika #SportsAM ya jana akizitaja timu tatu za Tanz… appeared first on soka letu.
Via soka letu https://ift.tt/ASyTVrE
Comments
Post a Comment