WAKAGUZI WA NDANI WAOMBA MABORESHO Chama cha wakaguzi wa ndani wa hesabu kimesema kuna haja ya kufanyika kwa maboresho ya namna…

WAKAGUZI WA NDANI WAOMBA MABORESHO
Chama cha wakaguzi wa ndani wa hesabu kimesema kuna haja ya kufanyika kwa maboresho ya namna ya ukaguzi wa ndani wa hesabu za serikali unavyofanyika kwakuwa baadhi ya mapendekezo ambayo hutolewa na CAG huwa hayatekelezwi kutokana na vikwazo vya kimfumo.
#AzamTVUpdates #cag #ukaguziwahesabuzandani
The post WAKAGUZI WA NDANI WAOMBA MABORESHO Chama cha wakaguzi wa ndani wa hesabu kimesema kuna haja ya kufanyika kwa maboresho ya namna… appeared first on soka letu.
Via soka letu https://ift.tt/pXxqhTN
Comments
Post a Comment