Vilio vya wananchi kuhusu hali ngumu ya maisha inayotokana na bei za bidhaa mbalimbali kupanda vimetua bungeni hii leo na kutawa…
Vilio vya wananchi kuhusu hali ngumu ya maisha inayotokana na bei za bidhaa mbalimbali kupanda vimetua bungeni hii leo na kutawala mjadala wa hotuba ya Bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu.
Hali hiyo ilimfanya Spika wa Bunge, Dokta Tulia Ackson kuitaka Serikali kutafuta ufumbuzi ili kuleta ahueni kwa wananchi.
#AzamTVUpdates #HaliNgumuYaMaisha #BidhaaZapandaBei #BungeniDodoma
The post Vilio vya wananchi kuhusu hali ngumu ya maisha inayotokana na bei za bidhaa mbalimbali kupanda vimetua bungeni hii leo na kutawa… appeared first on soka letu.
source https://mjombazecoder.website/4761/
Comments
Post a Comment