Uzinduzi Royal Tour New York, Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt.Pindi Chana amesema Tanzania imebarikiwa vivutio vingi vya utali…
Uzinduzi Royal Tour New York, Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt.Pindi Chana amesema Tanzania imebarikiwa vivutio vingi vya utalii na kufanya ichangie pato la taifa kwa asilimia zisizopungua 17.Amefafanua dhamira ya Rais Samia ni ya dhati ya kusema Tanzania inakwenda kwenye ramani ya Kimataifa.Amebainisha uzinduzi Royal Tour kwa Tanzania itakuwa Dar es Salaam na Zanzibar.

The post Uzinduzi Royal Tour New York, Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt.Pindi Chana amesema Tanzania imebarikiwa vivutio vingi vya utali… appeared first on soka letu.
source https://mjombazecoder.website/7003/
Comments
Post a Comment