Utalii katika Hifadhi ya Taifa ya Saadan unatarajiwa kuongezeka mara dufu wakati huu ambapo Serikali imefanikisha upatikanaji wa…
Utalii katika Hifadhi ya Taifa ya Saadan unatarajiwa kuongezeka mara dufu wakati huu ambapo Serikali imefanikisha upatikanaji wa zaidi ya shilingi bilioni moja kwa ajili ya kukarabati wa miundombinu, fedha ambazo zinatoka kwenye mfuko wa UVIKO 19.
#AzamTVUpdates #Uvico19 #HifadhiYaTaifaYaSaadan UtaliiTanzania
The post Utalii katika Hifadhi ya Taifa ya Saadan unatarajiwa kuongezeka mara dufu wakati huu ambapo Serikali imefanikisha upatikanaji wa… appeared first on soka letu.
source https://mjombazecoder.website/4561/
Comments
Post a Comment