“Tumetolewa kishujaa” – Ahmed Ally baada ya kutupwa nje kwenye michuano ya #CAFCC , ana neno la kuzungumza na mashabiki kuelekea…

“Tumetolewa kishujaa” – Ahmed Ally baada ya kutupwa nje kwenye michuano ya #CAFCC , ana neno la kuzungumza na mashabiki kuelekea ‘Kariakoo Derby’ Aprili 30, 2022, akisema wanakwenda kutafuta faraja kwa kuifunga Yanga, huku akisema wamejifunza mengi kuelekea msimu ujao.
#NBCPremierLeague #LigiKuuYaNBC #NBCPL #NBCPLUpdates #KariakooDerby #YangaSimba #YangaVsSimba #YangaSC #SimbaSC #WataniWaJadi #Derby
The post “Tumetolewa kishujaa” – Ahmed Ally baada ya kutupwa nje kwenye michuano ya #CAFCC , ana neno la kuzungumza na mashabiki kuelekea… appeared first on soka letu.
source https://mjombazecoder.website/9591/
Comments
Post a Comment