@stbongotv Baada ya kusubiriwa kwa miaka mingi sasa ule usiku wa kuandika historia kwa kiwanda cha burudani hasa upande wa muzik…
@stbongotv Baada ya kusubiriwa kwa miaka mingi sasa ule usiku wa kuandika historia kwa kiwanda cha burudani hasa upande wa muziki nchini unaenda kufanyika hii leo.
–
Ni kuhusu zoezi la utolewaji wa Tuzo za Muziki nchini (#TMA2022) ambalo linasimamiwa na Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo kupitia Baraza la Sanaa la Taifa BASATA.
–
#STBongo tutakuwa LIVE kupitia kisimbuzi cha @startimestz CH 161 (Antena) CH 401 (Dish) kuanzia saa 1 kamili usiku, Kaa karibu na mitandao yetu ya Kijamii ili kupata Updates zetu mbalimbali.
–
#STBongo #mara100zaidi

The post @stbongotv Baada ya kusubiriwa kwa miaka mingi sasa ule usiku wa kuandika historia kwa kiwanda cha burudani hasa upande wa muzik… appeared first on soka letu.
source https://mjombazecoder.website/3309/
Comments
Post a Comment