Mwili wa Eugerney Lusekelo mwenye umri wa miaka sita na mwanafunzi wa Shule ya Msingi Golden Light anayedaiwa kuuawa na msaidizi…
Mwili wa Eugerney Lusekelo mwenye umri wa miaka sita na mwanafunzi wa Shule ya Msingi Golden Light anayedaiwa kuuawa na msaidizi wa kazi za nyumbani, umezikwa katika makaburi ya Fisaida, Mpiji Magoe – Mbezi mkoani Dar es salaam.
Mtoto huyo alifariki Aprili sita mwaka huu siku ambayo ilikuwa ni kumbukumbu yake ya kuzaliwa na ikiwa ni muda mfupi baada ya kurejea nyumbani kwao akitokea shule.
#AazamTVUpdates #MtotoAuawa
The post Mwili wa Eugerney Lusekelo mwenye umri wa miaka sita na mwanafunzi wa Shule ya Msingi Golden Light anayedaiwa kuuawa na msaidizi… appeared first on soka letu.
source https://mjombazecoder.website/4760/
Comments
Post a Comment