MWAKA MMOJA WA NABI YANGA: Siku kama ya leo Aprili 20, 2021, kocha wa Yanga SC, Nasreddine Nabi alisaini mkataba wa kukitumikia …
MWAKA MMOJA WA NABI YANGA: Siku kama ya leo Aprili 20, 2021, kocha wa Yanga SC, Nasreddine Nabi alisaini mkataba wa kukitumikia kikosi cha #Wananchi.
Baada ya kukamatia kiti hicho cha ukocha, Nabi alikaribishwa na kichapo cha bao 0-1 kutoka kwa Azam FC dimbani Benjamin Mkapa na mfungaji alikuwa ni Prince Dube dakika ya 86.
Mpaka kufikia leo Aprili 20, 2022, kocha huyo ameshaiongoza Yanga kwenye mechi 27 za Ligi Kuu na huku akicheza mechi 26 mfululizo bila kufungwa.
Msimu huu kwenye NBC Premier League, Nabi amekutana na Azam FC mara mbili na zote ameondoka na ushindi.
Neno moja kwa kocha huyo kwenye safari yake ya mwaka mwingine katika soka la Tanzania
#MwakaMojaNabi #Nabi
@hajismanara @zakazakazi
The post MWAKA MMOJA WA NABI YANGA: Siku kama ya leo Aprili 20, 2021, kocha wa Yanga SC, Nasreddine Nabi alisaini mkataba wa kukitumikia … appeared first on soka letu.
source https://mjombazecoder.website/7701/
Comments
Post a Comment