
– Shirika la Kimataifa la Fedha, IMF, limebadili makadirio yake kwa kupunguza kiwango. cha ukuaji uchumi kote duniani kuwa 3.6%.
– Shirika la Wanyamapori lasema limelazimika kuingilia kati kuokoa baadhi ya wanyama walioathiriwa na ukame kwa muda mrefu.
Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C.
#habari

The post Muda maalum uliyotolewa na Russia kwa wapiganaji wa Ukraine kujisalimisha wamalizika appeared first on soka letu.
Via soka letu https://ift.tt/FU52LgM
Comments
Post a Comment