Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Robert Gabriel amemuagiza mkuu wa Wilaya ya Nyamagana mkoani humo kuwaondolea hadhi ya kuwa askari wa ak…
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Robert Gabriel amemuagiza mkuu wa Wilaya ya Nyamagana mkoani humo kuwaondolea hadhi ya kuwa askari wa akiba kikosi chote kilichohusika katika kuchukua ndizi za wajasiriamali wadogo ‘Machinga’ na kuzitupa kwenye gari kinyume na taratibu.

The post Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Robert Gabriel amemuagiza mkuu wa Wilaya ya Nyamagana mkoani humo kuwaondolea hadhi ya kuwa askari wa ak… appeared first on soka letu.
source https://mjombazecoder.website/6993/
Comments
Post a Comment