
Hans Grundberg alisema hayo siku ya Jumatano akikamilisha ziara yake ya kwanza katika mji mkuu wa Yemen, Sanaa unaoshikiliwa na waasi wa kihouthi, na kukutana na viongozi wao.
Ilikuwa ziara ya kwanza ya raia huyo wa Sweden katika eneo linaloshikiliwa na Wahuthi tangu kushika wadhifa wake mwezi Septemba mwaka jana.
Akizungumza na waandishi habari mjini Sanaa Jumatano usiku, Grundberg ameonya kwamba “Ingawa tunaona makubaliano ya kusitisha mapigano yanaheshimishwa kwa jumla, lakini tunatakiwa kuzingatia changamoto zilizopo pia.

The post Mjumbe maalum wa Umoja wa Mataifa akamilisha ziara Sanaa appeared first on soka letu.
Via soka letu https://ift.tt/PFlhzIq
Comments
Post a Comment