Kwenye familia, si ajabu na mara nyingi mtoto akafanana na baba yake kwa mambo mengi; sura, maarifa, uwezo na hata sauti. Ni ku…
Kwenye familia, si ajabu na mara nyingi mtoto akafanana na baba yake kwa mambo mengi; sura, maarifa, uwezo na hata sauti.
Ni kutokana na ukweli huo na kwa kuzingatia maoni yako mpenzi wa tamthiliya zetu pendwa, kuanzia sasa, katika tamthiliya ya #Ottoman, sauti ya kijana #Osman itafanana na ile sauti ya #Ertugrul.
Tunathamini mawazo yenu na ni wajibu wetu kuwapa kile mnachopenda. Asante kwa kuchaguan#AzamTV na endelea kuburudika
#AzamTVBurudaniKwaWote #Ottoman #AzamTwoHD #AzamTVBurudani
The post Kwenye familia, si ajabu na mara nyingi mtoto akafanana na baba yake kwa mambo mengi; sura, maarifa, uwezo na hata sauti. Ni ku… appeared first on soka letu.
source https://mjombazecoder.website/3908/
Comments
Post a Comment