#HABARI: Waziri wa Fedha na Mipango Mhe.Dkt. Mwigulu Nchemba amesema kuwa Tanzania inatarajia kunufaika zaidi na fursa za mikopo…

#HABARI: Waziri wa Fedha na Mipango Mhe.Dkt. Mwigulu Nchemba amesema kuwa Tanzania inatarajia kunufaika zaidi na fursa za mikopo na misaada inayotolewa na Benki ya Dunia pamoja na Shirika la Fedha la Kimataifa-IMF baada ya Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan kufanya ziara katika Taasisi hizo na kufanya mazungumzo na uongozi wake wa juu, Jijini Washington DC, nchini Marekani.
Soma Zaidi>> bit.ly/3xPTFik
The post #HABARI: Waziri wa Fedha na Mipango Mhe.Dkt. Mwigulu Nchemba amesema kuwa Tanzania inatarajia kunufaika zaidi na fursa za mikopo… appeared first on soka letu.
Via soka letu https://ift.tt/hjOUE1V
Comments
Post a Comment