#HABARI: Kamisaa wa sensa ya watu na makazi 2022, Spika wa Bunge Mstaafu Bi.Anne Makinda amewatahadharisha waratibu wa sensa nga…

#HABARI: Kamisaa wa sensa ya watu na makazi 2022, Spika wa Bunge Mstaafu Bi.Anne Makinda amewatahadharisha waratibu wa sensa ngazi za mikoa na wilaya kuepuka kutoa ajira za makarani kwa upendeleo badala yake watoe kwa watu wenye sifa ili kuwezesha upatikanaji wa taarifa sahihi.

The post #HABARI: Kamisaa wa sensa ya watu na makazi 2022, Spika wa Bunge Mstaafu Bi.Anne Makinda amewatahadharisha waratibu wa sensa nga… appeared first on soka letu.
Via soka letu https://ift.tt/hjOUE1V
Comments
Post a Comment