CAFCC: “Tayari baadhi ya watu wameshatangulia Afrika Kusini” maneno ya Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba SC, Ahmed Ally a…
CAFCC: “Tayari baadhi ya watu wameshatangulia Afrika Kusini” maneno ya Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba SC, Ahmed Ally akizungumza kuelekea mechi ya mkondo wa pili ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Orlando Pirates hapo Jumapili Aprili 24.
Ahmed amesema hayo leo alipoungana na kundi la mashabiki wa Simba la Enjoy and Cry kutoa msaada kwenye kituo cha kulea watoto yatima kilichopo Chalambe, Mbagal Dar es Salaam.
#CAFCC #SimbaSC
@ahmedally_ @simbasctanzania
The post CAFCC: “Tayari baadhi ya watu wameshatangulia Afrika Kusini” maneno ya Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba SC, Ahmed Ally a… appeared first on soka letu.
source https://mjombazecoder.website/7699/
Comments
Post a Comment