Basi la Nyembela lenye namba za usajili T, 144 DLK linalofanya safari zake maeneo ya Mkoka-Mpwapwa mkoani Dodoma limepata ajali …
Basi la Nyembela lenye namba za usajili T, 144 DLK linalofanya safari zake maeneo ya Mkoka-Mpwapwa mkoani Dodoma limepata ajali mapema asubuhi ya leo na kusababisha vifo vya watu wawili na wengine sita wamejeruhiwa.Idadi kamili ya abiri waliokuwa katika basi hilo bado haijaweza kufahamika.
Kamanda wa polisi mkoani Dodoma Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi Onesmo Lyanga akizungumza na STAR TV amesema amepokea taarifa za ajali hiyo ambapo gari hilo lilikuwa linakata kona ndipo breki iligoma na kusababisha basi hilo kuanguka.
Aidha Kamanda Lyanga amesema uchunguzi unaendelea ili kubaini ikiwa sababu ya ajali hiyo ni suala la gari kufeli breaking au laaah.
Endelea kutufuatilia kwa habari zaidi.
#StarTvUpdates

The post Basi la Nyembela lenye namba za usajili T, 144 DLK linalofanya safari zake maeneo ya Mkoka-Mpwapwa mkoani Dodoma limepata ajali … appeared first on soka letu.
source https://mjombazecoder.website/3305/
Comments
Post a Comment