Baraza la kimataifa la viwanja vya ndege kanda ya Afrika #ACI limeitunuku kampuni ya #KADCO inayosimamia uwanja wa ndege wa ki…
Baraza la kimataifa la viwanja vya ndege kanda ya Afrika #ACI limeitunuku kampuni ya #KADCO inayosimamia uwanja wa ndege wa kimataifa wa Kilimanjaro #KIA , tuzo ya kimatifa ya umahiri ya rasilimali watu katika uwakilishi wa wanawake katika ngazi za utawala.
#AzamTVUpdates
The post Baraza la kimataifa la viwanja vya ndege kanda ya Afrika #ACI limeitunuku kampuni ya #KADCO inayosimamia uwanja wa ndege wa ki… appeared first on soka letu.
source https://mjombazecoder.website/8398/
Comments
Post a Comment