Bajeti kuu na ya mwisho ya Serikali ya Jubilee chini ya Rais Uhuru Kenyatta, imesomwa leo mjini Nairobi nchini Kenya na waziri w…
Bajeti kuu na ya mwisho ya Serikali ya Jubilee chini ya Rais Uhuru Kenyatta, imesomwa leo mjini Nairobi nchini Kenya na waziri wa fedha Ukur Yatani.
Bajeti hii ya Trilioni 3.324 inasomwa wakati huu taifa hilo likielekea katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwezi agosti mwaka huu tofauti na ilivyo kawaida kwa bajeti hiyo kusomwa kipindi cha mwezi wa sita pamoja na Tanzania na Uganda.
#AzamTVUpdates #BajetiYaKenya
The post Bajeti kuu na ya mwisho ya Serikali ya Jubilee chini ya Rais Uhuru Kenyatta, imesomwa leo mjini Nairobi nchini Kenya na waziri w… appeared first on soka letu.
Via soka letu https://ift.tt/BjPMSEf
Comments
Post a Comment